Mkutano wa vijana

“Maana nayajua mawazo ninayo wawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya Amani, wala si yamabaya, kuwapa ninyi timaini siku zenu za mwisho”. Yeremia 29:11
Alianza na historia ya msichana aliyekuwa na rafiki mubaya ambaye alitamani kumuachanisha na mchumba wake.
Ilipokuwa siku moja Yule msichana alimwabiya rafiki kumushindiza kumuona mchumba wake, basi walipokuwa njiani kwenda kumuona Yule kijana. Kwasababu ya wivu ya rafiki yake kuona mwenzake amepata mchumba, akajifanyia shauri ya kumupaka matope kwa nguo nyeupe kwa uficho mgongoni Yule msichana, ili mchumba wake atakapo muona amukatae na ampende yeye. Lakini Mungu kwa sababu anaona mafichoni, kumbe Yule kijana alikuwa nyuma yao na kukamata picha yay ale walikuwa wakitendea msichana huo.
Walipo kutana na kijana alitoka kwenye gari nzuri na alipo ona kwamba msichana huo amevaa nguo za uchafu, yeye hakumsalimu bali ashika Yule ambaye alimshindikiza na kumutia kwa gari na wakaenda.
Msichana huyo aliyekuwa ametarajia kuona mchumba wake kwa machozi mengi sana, amerudi nyumbani na huzuni nyingi.
Basi Yule kijana hakwenda mbali amerudi na kuja kumuona mchumba wake, na akamuita pembeni na kumuonyesha zile picha mwenzake akimupakaa matope, na kumuuliza, je waamini kwamba huyu amabaye amekufanya hivi ni rafiki yako? Msichana alishikwa na mshangao sana. Na walipomuuliza Yule binti aliyefanya kitendo kile, alijibu ya kuwa ni wivu ndiyo imemufanya atende hayo.
Shetani naye anafanya hivyo hivyo, ili kutupakaa matope, nakutaka  kuzuia mpango wa Mungu kwa ajili ya mwanadamu. Ukiangalia mda murefu tunaumaliza tukipigana na shetani.
Kiini cha mkutano huu ni kuwaambia ya kwamba mpango wa Mungu ni mzuri pia wa amani. Zaburi 40:6
Mpango wa Mungu kwa ajili ya mwanadamu unalinganishwa na neon moja liitwalo: “Mwito”.

Kuna wito za aina tatu ambazo ni:
  • Mwito wa pamoja
  • Mwito wa familia
  • Mwito binafsi
1. MWITO WA PAMOJA (Collective calling): Mwito  huu utaweza kuwa ni wa Taifa, bara, na hata kwa dunia nzima.Mfano: inchi itaweza kuwa na mwito tofauti na inchi nyingine, wala taifa na linguine. Tuseme kwa mfano inch ya Uganda ni mojawapo wa inchi ambao injulikana kuwa na vijana wengi duniani. Ndiyo maana kwa miaka ya 1980, shetani ameivamia inchi hiyo kwa janga la ukimwi na kuwakumba vijana na familia kadhaa. Baada ya hapo inchi hiyo ilikumbwa pia na janga la Ebola na ukiangalia mabo hayo yote hawakuyapata watu wengine wala taifa linguine.
Katika kitabu cha Isaya 49:3 na Kumbukumbu la torati 7:6-8, tunasoma mwito wa inchi ya Israeli toka uri ya wakaludaya hadi kuwa taifa nzima, lakini pamoja na hayo Mungu aliinua taifa la Ashuru kama fimbo na gongo la kuwaazibu waisraeli mara tu watakapokosea Mungu.
2. MWITO WA FAMILIA (Family calling): Muungano wa familia ni kitu muhimu sana. Familia iliyo jiunga kwa pamoja hua inafanya mambo makuu sana.
3. MWITO BINAFSI (Personal calling): hapa ndipo ningependa kukawiya. Mpango wa Mungu kwa mwanadamu huanza mbele sana kabla ya mtu mwenyewe kuweko. Bali haya yote tunayo yafanya kwa umri wa vijana ni kuyapitia tu yale Mungu aliyo tuandalia zamani kabla ya sisi kuweko. Soma kitabu cha Isaya 49:1-5; kitabu cha Yeremia 1:5 na kitabu cha wagalatia 1:15.
UTAJUWAJE MWITO WAKO?
Wito zote zina ambatana na mambo saba yafuatayo:
  • WAJENGAJI (Builders)
  • WAVUVI ( Fishers)
  • WAFUNDI (Repairs)
  • WALIMU (Instructors)
  • WASAIDIZI (Sponsors)
  • WAVUMBUZI (Innovators)
  • WACUNGAJI (Shepherds)
Mifano ya kuelewa mwito
  • Kuzagazagaa (waamzi 11)
  • Maono
  • Kupokea
  • Bidii (1 Samueli 17)
  • Kutoridhika (Matendo ya mitume 6:1-6)
  • Kile ulicho kipenda(Methali 23:7)
  • Kushiriki wengine (Estheri 6)

Recent

Archive

 2024
 2023
 July
Global Youth Arise: A Transformative Journey to a purposeful lifeGlobal Youth Arise: Building Families on a firm foundationGuide to preparing for the courtship processYouth Arise Day 2 Revival Service: Whom shall I send?Mkutano wa vijanaGlobal Youth Arise Day 2: Unveiling your divine callingApostle Gitwaza revealed seven primary callingsSpeech | Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka 2023 Ijambo rya Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka ku nshuro ya 24Africa Haguruka 2023 - Mountain of FamilyOpening Remarks by Archbishop MbandaApostle Dr Paul Gitwaza Unveils Africa's Rich History: Africa's Rich Legacy as a Reflection of God's Divine Plan for Humanity"Africa Haguruka Day 3 - Mountain of EducationIndangagaciro 10 zafasha Afurika gutera imbere | Africa Haguruka 2023 Embracing the Mentorship of God - A Call to Africa's RevivalAfrika Inuka 2023 | Siku ya 2 | Mlima wa FamiliaMulima wa Elimu: Njia Iletayo MageuziSALVATION IS NOT A BOREDOM: Spread the Gospel and embrace the world's diversity through art and entertainmentUmunsi wa 4 w'igiterane cya Afrika HagurukaShifting Foundations and Unveiling a New Destiny | AH24tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapataUnlocking Business Potential | Africa Haguruka 2023Africa Haguruka 2023: Umusozi w'UbucuruziAFRICA ARISE 2023: Apostle Linda Gobodo Declares Jesus Christ as the Greatest Mentor the World Has Ever SeenUmwuka wera nk'umutoza wa AfrikaMkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4A Call for Transformation and MentorshipUmunsi wa 5 w’igiterane cy’Africa Haguruka | #AH24Umusozi w'idini | Afrika Haguruka 2023Empowering transformation through mentorship and the holy spirit at Mount Hermon, KigaliEjo hazaza ha buri kimera hagenwa n’ubwiza n’umwimerere bw’iyo mbuto | #AH24Empowering Transformation for God's GloryGod Will Bless African, A Blessing That Will Change the Way the Entire World Perceives the ContinentMwito wa mageuzi na ushahuriKumenya umutoza wa Afrika wifashishije ibyayihinyuje ndetse n'ibyiringiro byayoUnravelling the secret code of Africa's evolution A Journey of Challenges and HopeThe Distinguishing Traits of Church Leaders Mentored | Africa Haguruka 2023The Church in Africa Must Seize and Own the Stick of Command

Categories

Tags