tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapata

Alifungua  mkutan huo Mtume Dr poul Gitwaza akikalibishwa kwa moyo mkunjufu kwa kuanzisha mchakato huo kwa kutambulisha historia iliyotukuka ya Mtume Linda Gobodo kutoka Africa kusini nchi inayojulikana kwa jina la azaniah katika duru ya kiroho kwa vile haikupewa jina na mkoloni ana huduma inayoitwa ufalme wa kanisa lake na alianzisha rasmi kogamano la Africa Arise saw na Africa Haguruka inchini Rwanda Africa Arise ni mkutano unaoitayarisha Africa kujenga bara lao,ambapo kama Mtumishi wa Mungu Mtume Linda Gobodo aliwezeshwa kuwahimiza watu kujenga na kuendeleza africa pamoja na kuwa
Wito wa kiungu na maono ya pamoja

Apostle Dr. Paul Gitwaza

Wakati mwingine .wakati Mungu anapoita na kuweka mzigo moyoni mwako ,unaweza kufikiriiuko peke yako katika kupokea ujumbe ni katika moja ya nyakati hizi ambapo njia yangu ili vuka na Mtume Poul Gitwaza kwa sababu ya Africa rise ikisukumwa na lengo lake la maono ‘ kuona Africa iliyojengwa kikamilifu iliyostawi na yenye mafanikio makubwa ambao imechukua nafasi yake halali katika mataifa wa dunia’
Maono ya pamoja yalikuwa katika africa kuinuka ,kuongoza .

Apostle Linda Gobodo

Kujenga wakati Mungu alipo zungumuza nami ,sikuwa na maalifa ya awalii inanitafuta uthibitisho wa wito wangu ,inashangaza ,nilipo fika Rwanda uthibitishokamili ulikuja kupitia Africa Haguruka Mungu alizungumza nami kupitia mandiko ya bibilia katika isaya 58;12-60 na 61;4 akaniagiza kusafiri kwa mataifa na kuita africa kuinuka kupitia wimbo ,dansi ,neno lakusema na maandishi yaliochapishwa .pia alinisihi niwaie watakatifu wake kupokea ,kumiliki,na kuingia ufalme wake ,ufalme wa Mungu ulipo ulipokalibia Africa 

Maono hayo hayo ya pamoja yalitolewa kwaliekua jaji mkuu mogoeng mogoeng kutoka azania [africa kisini];kujenga taifa la africa lenye haki amani na ustawi kutoka cape hade cairo kwa kutambuwa kwamba umoja wa Africa ni muhimu kwa ustawi wake hadi africa iungane kuwa kitu kimoja , maendeleo yake kuzuiwa .

Hatima ya kinabii ya azaniah na bara zimu la africa; imetolewa 

Kutoka kwamaneno mawiliiya kinabii moja la kim clement mnamo mei  2008 na lingine na Mchungaji amaka abe kutoka nigeria mnamo 2011.
‘Nikalibisheni , nami nitakuja ‘ asema bwana ‘sijakusahau kamwe ,Africa tamu herode  alipojaribu kuniua 
Asema bwana ;nafsi ya Africa ndiyo iliyonifunza kama mtoto mdogo hukuwa na chochote cha kuniletea , lakini umenilinda na yule aliye jalibu kuniua ,wala siku yasahau matendio yako mema ,sijasahau ,asema bwana ,yakwamba nilipo kuwa numechukua msalaba maili ya mwisho simoni wa kurene ;mtu mweusi , Mtu kutoka Africa Mwafrica ,aliinamisha mgongo wake chini na kunisaidia mimi kubeba msalaba wa ibu wako ,wa dhambi ,wa ugonjwa wako kwa hiyo,kwamala nyingine tena Africa ndiyo itakabeba injilii mailii ya mwisho inakuja ……inakuja …… inakuja ‘ Kim clement  mei 2008 ‘ pete unazoona zinawakilisha nguvu ya uponyaji, kuokoka namiujiza ambao itatoka katika nchia ya kusini  mwa Africa kutakuwa kumiminwa kwa nguvu kwa roho wangu na wengi watakimbilia katika ufalme wangu , Africa itaokoka …watu kutoa kila pembe ya dunia watakuja kupata uzoefu wanguvu za Mungu  utashuhudia maonyesho ya ajabu . HISIO INAYOITWA ;END TIME MOVE ,badala yake nihalakati ambapo wana wa Mungu watainuka nakuchukuwa mahali pao panapostahili ‘niliposafili kwenda kaskazini pete hizi ziliongezeka kwa ukubwa na nilipofika islael niligeuka kutazam nyuma africa nilisimama kwamshangao nilipona musalaba ukielea juu ya Africa  Mungu wa msalaba uliyia nanga Africa kusini kushoto na Africa mikono yakulia ikienea kuelekea pembe ya Africa na pani yamagharibi wakati sehemu ya juu ya msalaba ilifikia ukingo wakaskazini ‘
‘Ghafla ,roho akanena nami tena akisema wakati wangu ndio sasa ;ambapo nitafanya neno langu kuwa kwli Africa itaokolewa na injili ya Ufalme wa Mungu itaenea kutoka Africa kusinihadi kwingineko la ulimwengu kuanzia wakati huuna 
Kuendelea Africa itahubiria  ulimwengu na mpango huu utaanza Africa kusini ‘-mchungaji amaka abe 2011 ‘ 
Africa ni mahali pa usalama Mungu anakumbuka africa ilifany sasa ni wakati wa Africa kwenda kuhubirikwa ujasili injili safi ya Mungu bila kuomba omba . tayali inatokeya waa Africa wana hubiri injiliduniani kote kama Mungu alivyochagua 
Africa kutokea wakati ulimwengu unamngoja mkombozi wake

kati wa ufalme;jinsi ya kuendeleza ufalme wa Mungu duniani.

Africa usione mbali tazama ndani yako bwana Yesu ndie Mushauli wako njoo kwake

[isaya48;17 Bwana mkombozi wako mtakatifu wa islael asema hivi mimi ni bwana Mungu wako nikufundishaye ili upate faida ;akuongozae kwanjia ikupasao kuiendea’
Katika maneno ya injiliyesu anadushahuli kupitia mikakati mbalimbaliya kusimamisha Ufalme wake hapa duniani .mikakati  hii inatokana yale aliyo fanya yesu aalipokua akihubili,kufundisha,kuponya na kuchaguwa wanafunzi kiolezo cha mikakati ikinaundwa na vipengele vunne ambavyo ni; ujumbe ,wanafunzi ,upako ,nguvu na mamlaka.
Kwa kufuata mikakati hiiwatu hushuhudia nguvu ya mabadiliko ya injilina wanavutwa kwenye Ufalme wa Mungu athali yamafungisho ya Yesu na udhirishowa mamlaka yetu huwaongoza watu kuja mbio ilikujioneya wokovu na ukombozi huo Yesu alianza kuhubiri nakusema ,’tubuni kwa maana Ufalme wa Mungu umekaribia ‘.

Yesu alikuwa alizunguka galilaya yote akifundusha  katika masunagogi  yao akihubili haballi njema ya ufalme wa mungu na kupomya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina wakamletea wagonjwa wote walio kuwa namagonjwa na mateso mbalimbali na wenye pepo  na wenye ki fafa na waliopooza naye akawaponya makundi mengi yawatu kutoka galilaya na dekapoli ,na
Yerusalem na uyahudi wakamfuata ngambo ya yorodan
-mathayo 4;17 ,23-25

Yesu alichagua wanaume 12 kutoka kwenye mlima wa biashara waliozoweza na kuwafanya wanafunzi kwa miaka 3-2 wakiwatayarisha kuendelea na kazi atakapoa ameondoka
JUNSI YESU ALIVYOFANYA

  1. Aliwafundisha maadili ya ufalme -mathayo 5-7
  2. Aliwafundisha kuomba - mathayo 6;9-13;luka 11;1-4
  3. Alionyesha uwezo wake -mathayo8-9  4.
  4. Aliwafundisha jinsi ya kukusanya mavuno ya roho -mathayo 9;35-38; luka 10;1-3 
  5. Aliwapa uwezo na mamlaka yakutenda yale waliyomwona akifanya -mathayo 10;1 luka 1,2;10;19 
  6. Aliwafundisha kuhusu ufalme -mathayo 6;24-34;13;1-52 marko 4;1-20; luka 17;20,21; matendo 1;1-3 warumi 14;17-20
  7. Aliwabatiza kwa roho mtakatifuna moto wa kuwatia nguvu wao -mathayo 3;9-11 ; matendo 1;8;2;1-4 
  8. Aliwapa neno lake kama dira -yoh1;1-18 zaburi 32;8;107;20
  9. Aliwapa agizo kuu na kuwatuma kuwa wanafunzi mataifa -mathayo 28;18-20 ; marko 16;15-20 
Wanafunzi haw 12 waligeuza ulimwegu juu chini kwakufanya yale waliofundishwa na kulingana na takwimu za jinsi kanisa lilivyo kubwa barani Africa fikiria ni kiasi gani kanisa laleo linaweza kufanya matendo 17;6

Sas ni wakati wa Africa kuinuka unaotangazwa katika

Isaya 60 ni wakati wa kwenda ;lazima twende ulimwengu ulikungoja Africa unapoteuliwa kuendeleza ufalme wa Mungu na uko tayali kuhubiriwa . Yesu anasema ‘ninatenda kazi pamoja nawe na kulithibitisha neno unalolihubiriishara maajabu na miujiza ‘’

Bwana anatuuliza leo katika toleo hili la 24 la Africa Arise 2023 ni mMtume nani atayakwenda kwa ajili yetu -isaya 6;8

Posted in , ,

Recent

Archive

 2024
 2023
 July
Global Youth Arise: A Transformative Journey to a purposeful lifeGlobal Youth Arise: Building Families on a firm foundationGuide to preparing for the courtship processYouth Arise Day 2 Revival Service: Whom shall I send?Mkutano wa vijanaGlobal Youth Arise Day 2: Unveiling your divine callingApostle Gitwaza revealed seven primary callingsSpeech | Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka 2023 Ijambo rya Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka ku nshuro ya 24Africa Haguruka 2023 - Mountain of FamilyOpening Remarks by Archbishop MbandaApostle Dr Paul Gitwaza Unveils Africa's Rich History: Africa's Rich Legacy as a Reflection of God's Divine Plan for Humanity"Africa Haguruka Day 3 - Mountain of EducationIndangagaciro 10 zafasha Afurika gutera imbere | Africa Haguruka 2023 Embracing the Mentorship of God - A Call to Africa's RevivalAfrika Inuka 2023 | Siku ya 2 | Mlima wa FamiliaMulima wa Elimu: Njia Iletayo MageuziSALVATION IS NOT A BOREDOM: Spread the Gospel and embrace the world's diversity through art and entertainmentUmunsi wa 4 w'igiterane cya Afrika HagurukaShifting Foundations and Unveiling a New Destiny | AH24tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapataUnlocking Business Potential | Africa Haguruka 2023Africa Haguruka 2023: Umusozi w'UbucuruziAFRICA ARISE 2023: Apostle Linda Gobodo Declares Jesus Christ as the Greatest Mentor the World Has Ever SeenUmwuka wera nk'umutoza wa AfrikaMkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4A Call for Transformation and MentorshipUmunsi wa 5 w’igiterane cy’Africa Haguruka | #AH24Umusozi w'idini | Afrika Haguruka 2023Empowering transformation through mentorship and the holy spirit at Mount Hermon, KigaliEjo hazaza ha buri kimera hagenwa n’ubwiza n’umwimerere bw’iyo mbuto | #AH24Empowering Transformation for God's GloryGod Will Bless African, A Blessing That Will Change the Way the Entire World Perceives the ContinentMwito wa mageuzi na ushahuriKumenya umutoza wa Afrika wifashishije ibyayihinyuje ndetse n'ibyiringiro byayoUnravelling the secret code of Africa's evolution A Journey of Challenges and HopeThe Distinguishing Traits of Church Leaders Mentored | Africa Haguruka 2023The Church in Africa Must Seize and Own the Stick of Command

Categories

Tags