Mkutano wa uamsho na kufunga

Msimamizi ni mchungaja Angelique Nyinawingeri Gitwaza, alianza na kuwakaribisha wote ambao wamehuzuria mkutano, na kuwapa nafasi walio kuwa mtandaoni ili kuyarudilia kwa kifupi yalio fanyika kwa mkutano kwa kila mlima kati ya milima saba ya maisha.
Na baada ya hapo alialika mchungaji Robert Runazi kuchambuwa matokeo na hatua zilizo pigwa na kanisa katika miaka iliopita, tangu mikutano hii ianze.

Pastor Angelique Nyinawingeli

Pastor Robert RUNAZI

Mtume Paul GITWAZA: Yeye ndiye alikuwa mhubiri wa siku,  alianza akiwapongeza viongozi wa mkutano Afrika Haguruka mkiwemo mchungaji Robert, mchungaji Claudine na muinjilisti Vital. Na akashika fursa kuitanganza tarehe ya mkutano wa 25, ambao utakuwa na kikao tarehe 14-21 Julayi 2023.

Apostle Dr. Paul GITWAZA

Isaya 48:17: Afrika nani Mshahuri wako?
Mungu anafurahiya sana kufundisha na kushahuri, tangu wakati wa Adamu mpaka leo. Mungu anaweza mshahuri mtu mmoja ili awashahuri memba wa familia, na Mungu anashahuri familia ili kuwashahuri  mashirika, Mungu anashahuri mashirika ili nayo pia yawashahuri  taifa na Mungu hushauri taifa ili kushahuri dunia. Katika kitabu cha Hosea 11:1, Mungu aliahidi waisraeli yakwamba atakuwa mshahuri wao. 
Isaya 34:13 wakati Mungu aliinua taifa la Isiraeli, alinua pia aina tatu ya viongozi:
  1. Manabii
  2. Makuhani
  3. Waimbaji
NABII: Musa analinganishwa na Nabii, na kazi ya nabii siyo tu kutabiri bali anajukumu pia ya kuilinda na kuwakumbatia taifa la Bwana. Hosea 12:14, Luka 7:16.
MAKUHANI: Aroni ni mfano mzuri wa makuhani, na kazi ya makuhani ilikuwa kufundisha watu amri za Mungu na pia kutoa sadaka kwenye madhabahu, ili kuombea watu msamaha kwa ajili ya dhambi za wanadamu. Malaki 2:6-7, Zaburi 77:20.
WAIMBAJI: Miriamu naye ni mfano wa waimbaji, na hapa tunaona waimbaji walio imba tu na Mungu anatenda makuu, mfano hapa ni mfalme Yehoshafati.
YABESI: Maana ya jina Yabesi ni huzuni, ninayo taka kuwaambiya  ni kwamba yeye  Yabesi siyo mu isiraeli bali ni mu Afrika, anatoka kabila la KENI. Kbila hilo ndilo la ukomo wa baba mukwe wa Musa, waamzi 1:16, kumbukumbu la torati 2;15. Yabesi alikuwa mshahuri wa Isiraeli.
Unabii kwa ajili ya Afrika Haguruka
  1. Afrika itageuka bala ambalo litakuwa ana vyuo vikuu vya  elimu. 
  2. Afrika itakuwa bara amabalo halitakubali kupokeya mabaya yote kutoka inchu bubwa duniani.
  3. Mungu anataka kuinuwa kizazi cya Yehonadamu ambacho kitabomowa madhabahu ya shetani yote.
  4. Afrika inaelekeya kuzaa kizazi cya nabii
  5. Afrika ndilo bara litakuwa na habari za ukweli na hakika. 2 Samuel 18:19-22
  6. Hata wamama watakuwa washahuri. Matendo ya mitume 13:1
Picha Zaidi: Albamu za Flickr

Recent

Archive

 2024
 2023
 July
Global Youth Arise: A Transformative Journey to a purposeful lifeGlobal Youth Arise: Building Families on a firm foundationGuide to preparing for the courtship processYouth Arise Day 2 Revival Service: Whom shall I send?Mkutano wa vijanaGlobal Youth Arise Day 2: Unveiling your divine callingApostle Gitwaza revealed seven primary callingsSpeech | Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka 2023 Ijambo rya Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka ku nshuro ya 24Africa Haguruka 2023 - Mountain of FamilyOpening Remarks by Archbishop MbandaApostle Dr Paul Gitwaza Unveils Africa's Rich History: Africa's Rich Legacy as a Reflection of God's Divine Plan for Humanity"Africa Haguruka Day 3 - Mountain of EducationIndangagaciro 10 zafasha Afurika gutera imbere | Africa Haguruka 2023 Embracing the Mentorship of God - A Call to Africa's RevivalAfrika Inuka 2023 | Siku ya 2 | Mlima wa FamiliaMulima wa Elimu: Njia Iletayo MageuziSALVATION IS NOT A BOREDOM: Spread the Gospel and embrace the world's diversity through art and entertainmentUmunsi wa 4 w'igiterane cya Afrika HagurukaShifting Foundations and Unveiling a New Destiny | AH24tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapataUnlocking Business Potential | Africa Haguruka 2023Africa Haguruka 2023: Umusozi w'UbucuruziAFRICA ARISE 2023: Apostle Linda Gobodo Declares Jesus Christ as the Greatest Mentor the World Has Ever SeenUmwuka wera nk'umutoza wa AfrikaMkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4A Call for Transformation and MentorshipUmunsi wa 5 w’igiterane cy’Africa Haguruka | #AH24Umusozi w'idini | Afrika Haguruka 2023Empowering transformation through mentorship and the holy spirit at Mount Hermon, KigaliEjo hazaza ha buri kimera hagenwa n’ubwiza n’umwimerere bw’iyo mbuto | #AH24Empowering Transformation for God's GloryGod Will Bless African, A Blessing That Will Change the Way the Entire World Perceives the ContinentMwito wa mageuzi na ushahuriKumenya umutoza wa Afrika wifashishije ibyayihinyuje ndetse n'ibyiringiro byayoUnravelling the secret code of Africa's evolution A Journey of Challenges and HopeThe Distinguishing Traits of Church Leaders Mentored | Africa Haguruka 2023The Church in Africa Must Seize and Own the Stick of Command

Categories

Tags