Mwito wa mageuzi na ushahuri

Kwa mlima Hermoni, mjini Kigali mkutano wa Afrika inuka umehuzuriwa na watu kadha wa kadha kutoka pembe zote za dunia. Mkutano ulianza kwa wimbi kubwa la moto kutoka katika nyimbo za kusifu na kuabudu Mungu tukiongozwa na Azaph ya kimataifa. Bishop Leonard ndiye aliongoza Ibadan a kumukaribisha Muheshimiwa Mtume Paul Gitwaza, ili kuwakaribisha wakristo pamoja na wageni wote waliokusanyika na kutowa neno la ufunguo na baada kumukaribisha mhubiri wa siku ambaye alikuwa ni Rev. Dr. Antoine Rutayisire pamoja na mtafsiri wake mchungaji Umuhoza Barbara.

Asaph Music International

NENO LA MAGEUZI
Rev. Rutayisire ameanza neno lake kwa kuwachangia walio kusanyika kwa mkutano yale aliyo yapitia (historia binafsi), na yote aliyo zifunza kwa msafara huo. Alimpongeza Mtume Dr. Paul Gitwaza kwa juhudi zake za kumtumikia Mungu bila kukoma na kupanua huduma na kuwahimiza wengi kwa kazi ya Mungu. Rev. Rutayisire alisema kwamba kuinuka kwa Afrika na wana wa Afrika itatokana na wa Afrika wenyewe watakapo inuka na kuachana na mambo ya kuwalaamu wazungu ambao wameacha Afrika munapo miaka zaidi ya sitini. Aliongeza ya kwamba nchi nyingi zimerudi nyuma ya pale wazungu wamewaacha. Yeye aliongeza ya kwamba hakubaliane na wale ambao wangali na ile tabia ya kuwalaumu wazungu.

Re. Antoine RUTAYISIRE

Tushike nafasi wenyewe
Afrika itanuliwa na wa Afrika wenyewe, wakishika nafasi na kutumika ili kuifikiya lengo na maono yao wenyewe. Aliendelea akihutubia mkutano ya kwamba mageuzi yeyote yatatokana na wa Afrika wenyewe bila kuchunga yakwamba mageuzi yataletwa na wengine. Mchungaji Rev. Rutayisire alionyesha ubaya wa dhambi, kwa sababu ndio inabomoa nchi, mahali, taifa na hata bara. Akisema ya kwamba kunapo utakaso taifa hujengwa na pasipo utakaso taifa hubomoka.
 
Nafasi ya kanisa kwa kuinua taifa
Rev. Rutayisire alirudia kwa nafasi ya kanisa ili kuleta mageuzi kwa taifa. Alisema ya kwamba wakristo wanapashwa kushika nafasi ili kuleta mageuzi kwa kila sekta ya uzima. Hii ni nafasi yetu kama  kanisa ili kuleta mageuzi kwa kila jambo.

Nguvu ao uwezo wa mshahuri
Rev. Rutayisire amesema ya kwa ajili ya nguvu za mshahuri na mshahuriwa. Aliwaambiya walio kusanyika ya kwamba tunapashwa kukubali kushahuriwa kwanza na roho mtakatifu, kwa sababu yeye ndiye mshahuri wa kweli. Na wale wafuataye ushahuri wake hao ndio watapata kushahuriwa na kuleta mageuzi ya kweli.

Ushahuri kwa kila sekta yamaisha
Mchungaji Rev. Rutayisire tunahitaji washahuri wanaojaa roho mtakatifu kwa kila sekta zote za maisha bila kuangalia nafasi moja tu. Mungu yupo pamoja na wale wanao mafikiri mazuri ya mageuzi. Aliendelea kuhimiza walio kusanyika kukubali kuongozwa na roho mtakatifu wa Bwana na kutenda mapenzi ya Bwana.  Aliongeza ya kwamba Afrika ni yaw a Afrika na wenyewe ndio wataiinua kama inavyo andikwa kwa kitabu cha Kumbukumbu la Torati 1:6. Huu ni wakati wa Afrika wa Kuinuka.
 Kwa kumaliza mutumishi alitoa mwito kwa wote walio kusanyika akisema ya kwamba tunapashwa ungana kama wakristo na kuleta mageuzi. Alisema ya kwamba ikiwa sote ambao tunakusanyika hapa tungeweza kuleta mageuzi mazuri kwa ushahuri wa Roho mtakatifu mahali popote ambapo tuanaishi, mahali pa kazi zetu na mahali popote tulipo, nina uhakika ya kwamba kwa mda mchache dunia yote ingepashwa kuona mageuzi hayo. Mwisho alimualika Mtume Paul Gitwaza kuomba na kualika roho mtakatifu ili kuongoza kila mmoja kwa mageuzi hayo.

Asaph Ubumwe

Picha Zaidi: Albamu za Flickr

Recent

Archive

 2024
 2023
 July
Global Youth Arise: A Transformative Journey to a purposeful lifeGlobal Youth Arise: Building Families on a firm foundationGuide to preparing for the courtship processYouth Arise Day 2 Revival Service: Whom shall I send?Mkutano wa vijanaGlobal Youth Arise Day 2: Unveiling your divine callingApostle Gitwaza revealed seven primary callingsSpeech | Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka 2023 Ijambo rya Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka ku nshuro ya 24Africa Haguruka 2023 - Mountain of FamilyOpening Remarks by Archbishop MbandaApostle Dr Paul Gitwaza Unveils Africa's Rich History: Africa's Rich Legacy as a Reflection of God's Divine Plan for Humanity"Africa Haguruka Day 3 - Mountain of EducationIndangagaciro 10 zafasha Afurika gutera imbere | Africa Haguruka 2023 Embracing the Mentorship of God - A Call to Africa's RevivalAfrika Inuka 2023 | Siku ya 2 | Mlima wa FamiliaMulima wa Elimu: Njia Iletayo MageuziSALVATION IS NOT A BOREDOM: Spread the Gospel and embrace the world's diversity through art and entertainmentUmunsi wa 4 w'igiterane cya Afrika HagurukaShifting Foundations and Unveiling a New Destiny | AH24tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapataUnlocking Business Potential | Africa Haguruka 2023Africa Haguruka 2023: Umusozi w'UbucuruziAFRICA ARISE 2023: Apostle Linda Gobodo Declares Jesus Christ as the Greatest Mentor the World Has Ever SeenUmwuka wera nk'umutoza wa AfrikaMkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4A Call for Transformation and MentorshipUmunsi wa 5 w’igiterane cy’Africa Haguruka | #AH24Umusozi w'idini | Afrika Haguruka 2023Empowering transformation through mentorship and the holy spirit at Mount Hermon, KigaliEjo hazaza ha buri kimera hagenwa n’ubwiza n’umwimerere bw’iyo mbuto | #AH24Empowering Transformation for God's GloryGod Will Bless African, A Blessing That Will Change the Way the Entire World Perceives the ContinentMwito wa mageuzi na ushahuriKumenya umutoza wa Afrika wifashishije ibyayihinyuje ndetse n'ibyiringiro byayoUnravelling the secret code of Africa's evolution A Journey of Challenges and HopeThe Distinguishing Traits of Church Leaders Mentored | Africa Haguruka 2023The Church in Africa Must Seize and Own the Stick of Command

Categories

Tags