Mkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4

Mtume Victor MKLOGOTHOA na Mtume paul GITWAZA walishimikiza faida  ya utakaso na nguvu za roho mtakatifu kama msingi wa uamsho kwa bara letu la Afrika.

Mtume Victor MKLOGOTHOA

Apostle Dr. Paul GITWAZA

Mtume Victor MKLOGOTHOA ni Reverend na mtumishi wa Mungu pia rafiki wa kanisa la Zion Temple. Yeye ni mmoja wa wana member wa Global Kingdom Patnership ilio na kikao Mjini Capetown, Afrika kusini. Anajulikana Duniani kwa kuongoza vikao na mikutano mikubwa kwa ajili ya megeuzi makubwa ya kiroho. 
Mtume Victor ameanza huduma yake ya kiroho wakati wa uamsho mkubwa mwakani 1971, aakiwa kwenye shule la secondari, hadi mwaka wa 1974 hapo ndipo Mungu alimuonyesha wazi mwito wake wa kumtumikiya Mungu. Wakati huo mtume Victor alichaguwa kupiga hatua na kutumika kama mwalimu na kwakuwa Mungu anamupango mwengine, baada ya miaka mitano kwa huduma, ndipo Mungu amemuita kwa Huduma za Kiroho.
Katika mwaka wa 1994, ndipo mtumishi Victor aliaga kwa kazi zake na kuambatana na mwito takatifu wa kuitangaza injili. Alianza kwa kufungua kanisa katika Kijiji na baada ya miaka miwili tu, amefanywa mchungaji katika dhehebu la Praise Tabernacle mjini Johanesbourg. Mahali uongozi wake wa kiroho umepata kuwageuza maelfu ya waamini. Yeye ni mtaalam wa ki theologian a ujumbe wake umevuka mipaka na kuenea kupitia mikutano na seminari anazozihutubia. Mtume Victor ni Mchumba wa Salome na baba wa Watoto watatu.
Hii nis uku yake ya nne ya Afrika Haguruka, mkutano wenye nguvu za uamsho, mkutano uliongozwa na Mtume Paul Gitwaza na kumukaribisha mtumishi wa Mungu Victor MKLOGOTHOA. Kiini cha neno ni Afrika nani Mshahuri wako?

AFRIKA KUJITOLEA KWA NENO NA UTAKASO
Mtume Victor amefungua mkutano kwa kuwahimiza waliohudhuria mkutano kujitolea kwa Bwana na kufuata maandiko. Alisema ya kwamba funguo la kumcha Mungu limo katika utakaso. Aliongeza akisema ya kwamba chochote tutakacho fanya tukifanye katika utakaso kwa kuwa utakaso ndilo jambo pekee litakalo saidia Afrika kukwuwa kiroho.

KUJENGA UPYA MISINGI YETU
Mkutano umeanganza vizuizi ambavyo Afrika imekutana navyo na kusema ya kwamba kila kikwazo kina sababu. Na hapo ameongeza ya kwamba tunahitaji neema ya Mungu, mtume Victor alisma yakwamba tunapashwa kugeuza mwenendo ili kujenga upya misingi yetu kama wa Afrika. Alikumbusha tena ya kwamba msingi wa kiroho kwa Afrika umetoka kwa Mungu na kwa hiyo tunapashwa kyafwata mapenzi ya Mungu kwa Maisha yetu.

TUSIMAME KWENYE MWAMBA
Mtume Paul Gitwaza alisema juu ya mipango ya shetani kwetu sisi wanadamu kubomoa na kudanganya mwanadamu. Alisema ya kwamba shetani haogopi ya kwamba wewe ni mchungaji, wala muinjilisti, wala mtu yeyote. Alimaliza akisema ya kwamba tunapashwa achana na nguvu zote za muovu shetani.

TUJENGE KWENYE MSINGI BORA WA YESU KRISTO
Mtume Paul Gitwaza alisema kwamba kila mtu anaitwa kusimama kwenye msingi bora na msingi huyo ni Yesu Kristo na bila Yesu hakuna maendeleo, Maisha bila Yesu ni kitu bure amesema Mtume gitwaza. Bali tukijenga kwenye msingi Imara tutaweza kusimama Imara na kushinda maadui wote.

Kwa kumaliza waliokusanyika walijazwa na shauku pia bidi na wameahidi kuwa kutia kwa matendo walio yasikiya na kuambiwa. Na kuahidi ya kwamba wana achana na mabo yote ya kale na kuanza mambo mapya. Kwa Pamoja Afrika itainuka kupitia nguvu za Mungu na mapenzi yake.
Picha Zaidi: Flickr Albamu

Recent

Archive

 2024
 2023
 July
Global Youth Arise: A Transformative Journey to a purposeful lifeGlobal Youth Arise: Building Families on a firm foundationGuide to preparing for the courtship processYouth Arise Day 2 Revival Service: Whom shall I send?Mkutano wa vijanaGlobal Youth Arise Day 2: Unveiling your divine callingApostle Gitwaza revealed seven primary callingsSpeech | Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka 2023 Ijambo rya Apostle Dr Paul Gitwaza | Africa Haguruka ku nshuro ya 24Africa Haguruka 2023 - Mountain of FamilyOpening Remarks by Archbishop MbandaApostle Dr Paul Gitwaza Unveils Africa's Rich History: Africa's Rich Legacy as a Reflection of God's Divine Plan for Humanity"Africa Haguruka Day 3 - Mountain of EducationIndangagaciro 10 zafasha Afurika gutera imbere | Africa Haguruka 2023 Embracing the Mentorship of God - A Call to Africa's RevivalAfrika Inuka 2023 | Siku ya 2 | Mlima wa FamiliaMulima wa Elimu: Njia Iletayo MageuziSALVATION IS NOT A BOREDOM: Spread the Gospel and embrace the world's diversity through art and entertainmentUmunsi wa 4 w'igiterane cya Afrika HagurukaShifting Foundations and Unveiling a New Destiny | AH24tume Linda Gobodo amtangaza yesu christ kuwa Mshauri mkuu zaid duniani hajapataUnlocking Business Potential | Africa Haguruka 2023Africa Haguruka 2023: Umusozi w'UbucuruziAFRICA ARISE 2023: Apostle Linda Gobodo Declares Jesus Christ as the Greatest Mentor the World Has Ever SeenUmwuka wera nk'umutoza wa AfrikaMkutano wa Uamusho: Simama kwenye msingi imara | Siku ya 4A Call for Transformation and MentorshipUmunsi wa 5 w’igiterane cy’Africa Haguruka | #AH24Umusozi w'idini | Afrika Haguruka 2023Empowering transformation through mentorship and the holy spirit at Mount Hermon, KigaliEjo hazaza ha buri kimera hagenwa n’ubwiza n’umwimerere bw’iyo mbuto | #AH24Empowering Transformation for God's GloryGod Will Bless African, A Blessing That Will Change the Way the Entire World Perceives the ContinentMwito wa mageuzi na ushahuriKumenya umutoza wa Afrika wifashishije ibyayihinyuje ndetse n'ibyiringiro byayoUnravelling the secret code of Africa's evolution A Journey of Challenges and HopeThe Distinguishing Traits of Church Leaders Mentored | Africa Haguruka 2023The Church in Africa Must Seize and Own the Stick of Command

Categories

Tags